Isaiah 44:6

Ni Bwana, Siyo Sanamu

6 a“Hili ndilo asemalo Bwana,
Mfalme wa Israeli na Mkombozi,
Bwana Mwenye Nguvu Zote:
Mimi ni wa kwanza na Mimi ni wa mwisho;
zaidi yangu hakuna Mungu.
Copyright information for SwhNEN